Tuesday 23rd, April 2024
@
Maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika yatafanyika Kimkoa katika Manispaa ya Tabora, Lengo ni kutambua thamani,utu, na umuhimu wa Mtoto Duniani. Kauli Mbiu ya Mwaka huu ni " Mtoto ni Msingi wa Taifa Endelevu:Tumtunze,Tumlinde na Kumuendeleza
Hatimiliki@2017Halmashauri ya Wilaya ya Igunga. Haki zote zimehifadhiwa