Wednesday 24th, April 2024
@Makao makuu ya kata
Halmashauri ya Wilaya ya Igunga kwa kushirikiana na shirika la Benjamini Mkapa Foundatio imeanza kampeni za utoaji huduma jumuishi ya upimaji VVU, utambuzi wa awali wa kifua kikuu na huduma ya uzazi wa mpango. huduma inatolewa bure na itapatikana katika kata 15 ndani ya Wilaya. kata zitakazonufaika ni Simbo, Nyandekwa, Choma, Itumba, Lugubu, Ndembezi, Ngulu, Uswaya, Mwamashiga, Nguvumoja, Mwamashimba, Isakamaliwa, Kining'inila, Igunga na Kinungu.
Hatimiliki@2017Halmashauri ya Wilaya ya Igunga. Haki zote zimehifadhiwa