• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe |
Igunga District Council
Igunga District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Igunga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Msingi Mkuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Utumishi na Utawala
      • Mazingira
      • Maji
      • Ujenzi
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Maliasili, Ardhi na Mazingira
      • Uvuvi na Mifugo
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
    • Vitengo
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Ugavi
    • Kata
      • Our Wards
  • Vivutio vya Uwekezaji
    • Vivutio Vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Wah. Madiwani
    • Orodha Ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Uongozi na Utawala
      • Mipangomiji na Mazingira
      • Kamati ya Uchumi, Elimu na Afya
      • UKIMWI
      • Kamati Ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Madiwani
      • Meeting With Chairperson
  • Miradi
    • Miradi Itakayo Tekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkatati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Taratibu
  • Vituo vya Habari
    • Press Release
    • Video za Shughuli za Ofisi Kitaifa
    • Makitaba ya Picha
    • Hotuba za Viongozi

Care International Tanzania Wapongezwa Kwa Cheti

Tarehe iliyowekwa: January 9th, 2019

Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Igunga Ndugu Revocatus L.K. Kuuli, amewapongeza Shirika la Care Tanzania kupitia Mradi wa TAMANI (Tabora Maternal and New born Initiatives), kwa huduma waliyoitoa ya vifaa tiba pamoja na vitanda kwa Halmashuri ya Wilaya ya Igunga, katika kikao cha kamati ya Fedha kilichoketi jana tarehe 08.01.2019, katika ukumbi wa Halmashuri ya Wilaya ya Igunga.

 Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Igunga Mheshimiwa Peter Onesmo Maloda, aliendelea kuwasisitiza ushirikiano na taasisi zinazotuzunguka kwani zinasaidia halmashauri yetu katika nyanja mbalimbali.

“Halmashauri ya Wilaya ya Igunga tunayo furaha kubwa kwa heshima iliyoonyeshwa na Care Tanzania, chini ya mradi wa TAMANI (Tabora Maternal and New born Initiatives). Bi.Catherine Mathias ambaye ni mwakilishi hapa Igunga alitukabidhi vifaa vyenye thamani ya Tsh.88, 535,600.00, leo kwa kutambua umuhimu wao tunamtunuku cheti cha kutambua mchango wa Care Tanzania kwa halmashauri yetu hii” aliongenza Bwana Revocatus L.K.Kuuli Mkurugenzi Mtendaji Wilaya ya Igunga.

Naye Mwakilishi wa Care International Tanzania Wilaya ya Igunga Bi.Catherine aliwashukuru wajumbe wa kamati ya Fedha kwa ukaribisho wao, akaomba kufanya nao kazi bega kwa bega ili kuendelea kuimalisha utoaji wa huduma za Afya Wilayani Igunga.

Care International Tanzania chini ya Mradi wake wa TAMANI (Tabora Maternal and New born Initiatives), Shirika la Care kupitia mradi wake wa TAMANI umelenga kuchangia jitihada za kupunguza vifo vitokanavyo na uzazi, kwa kuboresha upatikanaji wa hiduma bora za afya kwa wajawazito, watoto, wanawake na familia zao.Utekelezaji wa mradi unafanyika katika zahanati 46, kata 33 na vijiji 64 wilayani Igunga.

Mkurugrenzi amemaliza kwa kuwaomba Care International Tanzania kuendelea kusaidia pale watakapo pata vifaa vingine ili kuendelea kuboresha huduma ya Afya Wilayani Igunga kwani Halmashauri peke yake na Serikali haiwezi kutimiliza mahitaji yote kwa wananchi wa Wilaya ya Igunga katika utoaji wa huduma za afya.

Imetolewa na

Kitengo cha TEHAMA NA UHUSIANO

Halmashauri ya Wilaya ya Igunga.

Matangazo

  • Majina ya Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha Kwanza Mwaka 2021 Halmashauri ya Wilaya ya Igunga December 18, 2020
  • Fomu ya Kujiunga Kidato cha Kwanza Mwaka 2021 (Joining Instruction for Form One 2021) Halmashauri ya Wilaya ya Igunga December 17, 2020
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI December 14, 2020
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA September 27, 2019
  • View All

Habari Mpya

  • Igunga Kuwa ya Kijani

    January 09, 2020
  • Watendaji wa Kata na Vijiji Wafundwa Igunga

    June 06, 2019
  • Waaswa Watendaji wa Vijiji Kufata Taratibu Kanuni na Sheria za Fedha

    March 18, 2019
  • Hongera Mwayunge Sekondari Kwa Ufaulu Kidato cha Nne 2017

    January 10, 2019
  • View All

Video

Uzinduzi wa upigaji chapa
Video Zaidi

Viungio vya haraka

  • Hotuba
  • Pakua Fomu
  • Zabuni
  • Matangazo ya kibiashara
  • Matukio

Kurasa zinazofanana

  • Watumishi Portal
  • Poralg
  • Public Service Management
  • Tabora Region Website
  • NECTA

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Sitemap
    • Huduma
    • Huduma

Hatimiliki@2017Halmashauri ya Wilaya ya Igunga. Haki zote zimehifadhiwa