• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe |
Igunga District Council
Igunga District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Igunga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Msingi Mkuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Utumishi na Utawala
      • Mazingira
      • Maji
      • Ujenzi
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Maliasili, Ardhi na Mazingira
      • Uvuvi na Mifugo
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
    • Vitengo
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Ugavi
    • Kata
      • Our Wards
  • Vivutio vya Uwekezaji
    • Vivutio Vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Wah. Madiwani
    • Orodha Ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Uongozi na Utawala
      • Mipangomiji na Mazingira
      • Kamati ya Uchumi, Elimu na Afya
      • UKIMWI
      • Kamati Ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Madiwani
      • Meeting With Chairperson
  • Miradi
    • Miradi Itakayo Tekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkatati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Taratibu
  • Vituo vya Habari
    • Press Release
    • Video za Shughuli za Ofisi Kitaifa
    • Makitaba ya Picha
    • Hotuba za Viongozi

Afya

Halmashauri ya Wilaya ya Igunga ina vituo 66 vya kutolea huduma za afya kwa wananchi wake, vituo hivi vinaanzia ngazi ya Wilaya ( Hospitali ya Wilaya) hadi Kijiji (Zahanati). Huduma zimekuwa zinatolewa kwa kushirikiana na wadau mbalimbali waliopo ndani ya Wilaya ambazo zimejikita katika sehemu kubwa ya Afya tiba na kinga. Vituo hivyo ni kama ifuatavyo: tunazo Hospitali 2, moja iko chini ya umiliki wa Serikali na nyingine ni Hospitali ya rufaa ya Nkinga ambayo inayomilikiwa na shirika la dini (FPCT), tunavyo vituo vya afya vitano (5) ambapo kituo kimoja cha afya kinamilikiwa na shirika la dini na 4 vinamilikiwa na serikali.  Pia katika Wilaya kuna jumla ya zahanati 59, ambapo zahanati 53 ni za serikali na zahanati mbili (2) ziko chini ya umiliki wa mashirika ya dini na zahanati tatu (3) zinamilikiwa na watu binafsi na moja (1) inamilikiwa na Jumuiya ya wazazi.  Aidha utoaji wa huduma za afya unatekelezwa chini ya usimamizi wa Mganga Mkuu wa Wilaya kwa kuzingatia miongozo na taratibu mbalimbali zinazotolewa na Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia, Wazee na Watoto.

Majukumu ya Idara:

  1. Kuandaa Mpango kabambe wa Afya wa mwaka na kutoa taarifa za utekelezaji wake
  2. Kufanya ziara za usimamizi na ufuatiliaji wa utaoji wa huduma za afya katika vituo  vyote vya kutolea huduma za afya katika Wilaya.
  3. Kusimamia upatikanaji na usambazaji wa dawa, vifaa tiba na vitendanishi katika vituo vyote vya huduma ndani ya Wilaya
  4. Kubuni na kutayarisha mikakati ya kuinua ubora wa huduma ya Afya.
  5. Kusimamia watumishi wa Afya na kuhakikisha kuwa wanafanya kazi kwa kuzingatia maadili ya kazi, kanuni na miongozo mbalimbali zinazosimamia utendaji wa watumishi,
  6. Ukaguzi wa nyumba za kuishi na majengo ya biashara kama vile nyumba za kulala wageni,majengo ya kutengeneza na kuuza vyakula ili kuondoa machukizo yanayoweza kuhatarisha afya ya binadamu.
  7. Utoaji wa elimu ya afya kwa umma kuhusu masuala mbalimbali ya afya.
  8. Utoaji wa chanjo kwa magonjwa ya kuambukiza kwa wajawazito na watoto
  9. Usimamizi wa afya na usalama mahala pa kazi
  10. Usimamizi wa usafi wa Mazingira
  11. Kusajili na kuhuisha maduka ya dawa na vipodozi, kuyafanyia ukaguzi mara kwa mara na kuhakikisha yanafuata sheria, kanuni na miongozo inayosimamia uanzishaji na uwepo wa maduka hayo
  12. Kuratibu huduma za kuzuia maambukizi ya Virusi vya Ukimwi na UKIMWI zinazohusiana tiba katika Wilaya
  13. Kusimamia masuala ya lishe bora sambamba na umuhimu wa upimaji wa afya mara kwa mara ili kujua hali lishe kwa watoto na kwa kinamama ndani ya Wilaya.
  14. Kusimamia programu za kushawishi, kutetea na kulinda haki za makundi maalum yakiwemo ya watu wenye ulemavu; wazee na wasiojiweza; familia zenye dhiki; na watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi.
  15. Kufanya tathmini, ufuatiliaji na uratibu wa huduma za ustawi wa jamii Wilayani

Matangazo

  • Majina ya Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha Kwanza Mwaka 2021 Halmashauri ya Wilaya ya Igunga December 18, 2020
  • Fomu ya Kujiunga Kidato cha Kwanza Mwaka 2021 (Joining Instruction for Form One 2021) Halmashauri ya Wilaya ya Igunga December 17, 2020
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI December 14, 2020
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA September 27, 2019
  • View All

Habari Mpya

  • Igunga Kuwa ya Kijani

    January 09, 2020
  • Watendaji wa Kata na Vijiji Wafundwa Igunga

    June 06, 2019
  • Waaswa Watendaji wa Vijiji Kufata Taratibu Kanuni na Sheria za Fedha

    March 18, 2019
  • Hongera Mwayunge Sekondari Kwa Ufaulu Kidato cha Nne 2017

    January 10, 2019
  • View All

Video

Uzinduzi wa upigaji chapa
Video Zaidi

Viungio vya haraka

  • Hotuba
  • Pakua Fomu
  • Zabuni
  • Matangazo ya kibiashara
  • Matukio

Kurasa zinazofanana

  • Watumishi Portal
  • Poralg
  • Public Service Management
  • Tabora Region Website
  • NECTA

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Sitemap
    • Huduma
    • Huduma

Hatimiliki@2017Halmashauri ya Wilaya ya Igunga. Haki zote zimehifadhiwa