|
MKUU WA IDARA: Erasto A. Konga [MSc MNRSA – SUA] |
UTANGULIZI
Taarifa za Msingi
Idadi ya Tarafa
|
4 |
Idadi ya Kata
|
35 |
Idadi ya Vijiji
|
119 |
Idadi ya Kaya zote
|
58,674 |
Idadi ya Kaya za wakulima
|
55,154 |
Idadi ya Watu wote
|
399,727 |
Idadi ya wakulima
|
316,582 |
Idadi ya Kata zinazohudumiwa na wataalam wa Kilimo.
|
24 |
Eneo la Wilaya (km2)
|
6,912 |
Eneo linalofaa kwa kilimo (ha)
|
314,500 |
Watumishi wa Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
Na.
|
Cheo
|
Idadi |
|
Afisa Kilimo Mkuu I
|
1 |
|
Afisa kilimo Mkuu II
|
1 |
|
Afisa Kilimo Mwandamizi
|
0 |
|
Afisa Kilimo I
|
2 |
|
Afisa Kilimo II
|
1 |
|
Afisa Kilimo Msaidizi Mkuu I
|
6 |
|
Afisa Kilimo Msaidizi Mkuu II
|
3 |
|
Afisa Kilimo Msaidizi Mwandamizi
|
3 |
|
Afisa Kilimo Msaidizi I
|
6 |
|
Afisa Kilimo Msaidizi II
|
8 |
|
Afisa Kilimo Msaidizi III
|
3 |
|
Afisa Ushirika Mkuu II
|
2 |
|
Afisa Ushirika II
|
- |
|
Afisa Ushirika mwandamizi
|
- |
|
Jumla.
|
36 |
Hali ya Hewa
Wilaya hupata mvua kati ya 500 hadi 700 kwa mwaka. Miezi ya mvua (Masika ) ni mwezi Novemba hadi Aprili. Ukame hujitokeza kati ya Miezi Januari na February kila mwaka huathiri Mazao yaliyo shambani kwa kiasi kikubwa.
Kanda za Ikolojia Kilimo na Mazao yanayofaa kulimwa Wilayani Igunga
|
P12
|
Ukanda huu una joto kati ya 15oC hadi 30oC kwa mwaka.Ni uwanda tambarareunaofurika maji, udongo wa mfinyanzi wenye chumvichumvi na rutuba nyingi.
Msimu mmoja wa mvua zenye uhakika zinazonyesha kati ya Miezi 3 – 3 .1/2. Mazao yanayostawi ni Mpunga na Malisho ya mifugo |
P3
|
Ukanda huu una joto kati ya 15oC hadi 30oC kwa mwaka.Ni uwanda Mabonde na miinuko kiasi, udongo wa kichanga na tifutifu usio ns rutuba, rutuba kiasi na mbuga
Msimu mmoja wa mvua zenye uhakika zinazonyesha kati ya Miezi 4 – 5. Mazao yanayostawi ni Pamba, Karanga, Ufuta, Alizeti , Mkonge , Mtama, Viazi vitamu, Maharage na mahindi |
|
P7
|
Ukanda huu una joto kati ya 15oC hadi 30oC kwa mwaka.Ni uwanda tambarare wenye miinuko, udongo mfinyanzi wenye chumvichumvi na rutuba nyingi na maeneo mengine udongo mgumu
Msimu mmoja wa mvua zisizo na uhakika zinazonyesha kati ya Miezi 3 – 3.1/2. Mazao yanayostawi ni Ufuta, Alizeti , , Mtama, karanga na mahindi |
|
P8
|
Ukanda huu una joto kati ya 15oC hadi 30oC kwa mwaka.Ni uwanda tambarare wenye miinuko, udongo mgumu kwenye baadhi ya maeneo,mfinyanzi wenye chumvichumvi na rutuba nyingi na maeneo mengine mchanga wenye rutuba hafifu.
Msimu mmoja wa mvua zisizo na uhakika zinazonyesha kati ya Miezi 3 – 3.1/2. Mazao yanayostawi ni Ufuta, Alizeti , , Mtama, karanga na mahind |
Mazao yanayozalishwa Wilayani Igunga
Mazao ya Chakula: Mahindi, Mtama, Viazi vitamu na Muhogo ikunde
Mazao ya Biashara: Pamba, Alizeti, Ufuta na Choroko
Mazao ya Chakula na Biashara: Karanga na Mpunga
UZALISHAJI WA MAZAO KWA MISIMU MITANO KUANZIA 2008/2009 HADI 2012/2013
Mazao ya Chakula.
ZAO
|
2008/2009 |
2009/2010 |
2010/2011 |
2011/2012 |
2012/2013 |
|||||
Ha
|
Tan
|
Ha
|
Tan
|
Ha
|
Tan
|
Ha
|
Tan
|
Ha
|
Tan
|
|
Mahindi
|
36,732
|
51,425
|
44,982
|
66,473
|
40,108
|
33,635
|
40,544
|
26,958
|
17,918
|
26,877
|
Mtama
|
29,277
|
39,231
|
38,925
|
58,389
|
24,293
|
21,378
|
25,220
|
18,818
|
14,659
|
21,988.5
|
Mpunga
|
4,498
|
17,092
|
15,408
|
71,632
|
3,016
|
5,730
|
6,970
|
5,215
|
6,361.6
|
25,446.4
|
V/Vitamu
|
13,976
|
23,759
|
13,976
|
27,393
|
11,582
|
19,853
|
13,303
|
42,073
|
1,657.2
|
1,657.2
|
Mhogo
|
1,956
|
1,760
|
3,457
|
2,392
|
3,457
|
2,392
|
2,920
|
1,872
|
8,493
|
15,479
|
Mikunde
|
9,639
|
5,783
|
1,602
|
6,578
|
9,431
|
1,603
|
9,227
|
3,613
|
3,853
|
2298.9
|
JUMLA
|
96,078
|
139,050
|
118350
|
232857
|
91,887
|
84591
|
98184
|
98549
|
52,941.8
|
93,757
|
Mazao ya Biashara
ZAO
|
2008/2009 |
2009/2010 |
2010/2011 |
2011/2012 |
2012/2013 |
|||||
|
Ha
|
Tan
|
Ha
|
Tan
|
Ha
|
Tan
|
Ha
|
Tan
|
Ha
|
Tan
|
Pamba
|
26,542
|
23,888
|
21,130
|
21,130
|
21,130
|
21,130
|
23,319
|
23,319
|
17,350
|
17,350
|
Karanga
|
10,950
|
10,074
|
10,950
|
14,235
|
11,020
|
11,020
|
11,973
|
11,973
|
6,569
|
14,451.8
|
Alizeti
|
7,652
|
18,365
|
12,252
|
24,504
|
9,613
|
21,188
|
9,660
|
21,252
|
6,567
|
6,567
|
Ufuta
|
2,409
|
14,454
|
409
|
327
|
2,410
|
1,687
|
2,782
|
2,226
|
1,943
|
1,554.4
|
Dengu
|
-
|
-
|
113
|
103
|
103
|
103
|
517
|
517
|
178
|
178
|
Choroko
|
-
|
-
|
162
|
578
|
2,490
|
1,494
|
3,295
|
1,977
|
126
|
126
|
JUMLA
|
47553
|
66,781
|
45,016
|
38,777
|
46,766
|
56,622
|
51,546
|
61,264
|
32,607
|
39,923.2
|
KILIMO CHA UMWAGILIAJI MAJI MASHAMBANI.
Wilaya ya Igunga ina jumla ya Hekta11,547 zinazofaa kwa kilimo cha Umwagiliaji sawa na asilimia tatu(3%) ya eneo lote linalofaa kwa kilimo wilaya ya Igunga.
Hekta 2,707.5 zimejengewa miundombinu ya umwagiliaji iliyoboreshwa ambapo, Mwamapuli ina hekta 630 zinamwagiliwa maji, Itumba ina hekta 157.5, Buhekela ina hekta 400, Choma ina hekta 320, Igurubi ina hekta 400, Mwalunili ina hekta 400,Mwashiku ina hekta 400. Aidha umwagiliaji kwa njiaya uvunaji maji kwa majaruba unafanyika katika eneo linalokadiriwa kuwa na hekta 4,972.
Na |
Kijiji |
Skimu |
Eneo linalo limwa (ha) |
1.
|
Mwanzugi
|
Mwamapuli
|
630.0
|
2.
|
Choma
|
Choma cha nkola
|
320.0
|
3.
|
Lugubu
|
Itumba
|
157.5
|
4.
|
Igurubi
|
Igurubi
|
400.0
|
5.
|
Buhekela
|
Buhekela
|
400.0
|
6.
|
Makomero
|
Makomero
|
617.0
|
7.
|
Mwamapuli
|
Mwalunili
|
400.0
|
8.
|
Mwashiku
|
Mwashiku
|
400.0
|
9
|
Eneo nje ya skimu
|
Mwanzugi 2517ha, Makomero 459ha, Mwalala 635ha.
|
3611.0
|
10
|
Maeneo mengine
|
Skimu za asili-(Simbo 449ha, Utuja178ha, Ndembezi 145ha, Nyandekwa 189ha na Majengo 400ha)
|
1,361.0
|
|
Jumla
|
|
8,296.5
|
Aina ya mazao yanayomwagiliwa ni mpunga, mahindi pamoja na mazao ya bustani ambayo ni nyanya, matango, matikiti maji, kabeji, mchicha, nyanya chungu, biringanya na pilipili hoho.
UCHANGIAJI WA KILIMO CHA UMWAGILIAJI KATIKA UCHUMI WA WILAYA YA IGUNGA
IRRIGATION SCHEMES AND THEIR CONTRIBUTION TO AGRICULTURAL PRODUCTIVITY
S/No
|
SCHEME
|
VILLAGE
|
SOURCE OF WATER
|
PRODUC TIVITY (t/ha)
|
CONTRIBUTION |
1
|
Mwamapuli Irrigation Scheme
|
Mwanzugi
|
Mwamapuli dam
|
7.5 |
Job creation, food, enhancing income generating activities, source of water for domestic and animals, fishing production of pastures
|
2
|
Choma Irrigation scheme
|
Choma cha Nkola
|
Mapilinga river (Seasonal)
|
3.0 |
Job creation, food, enhancing income generating activities, production of pastures
|
3
|
Itumba Irrigation scheme
|
Itumba
|
Seasonal River (weir)
|
3.0 |
Job creation, food, enhancing income generating activities, production of pastures
|
4
|
Igurubi irrigation Scheme
|
Igurubi
|
Seasonal river (weir)
|
3.0 |
Job creation, food, enhancing income generating activities, production of pastures
|
5
|
Buhekela Irrigation scheme
|
Buhekela
|
Seasonal river (weir)
|
3.0 |
Job creation, food, enhancing income generating activities, production of pastures
|
6
|
Mwalunili
|
Mwamapuli
|
Seasonal river
|
2.5 |
Job creation, food, enhancing income generating activities, production of pastures Job creation, food, enhancing income generating activities, production of pastures
|
7
|
Mwashiku
|
Mwashiku
|
Seasonal river
|
2.5 |
Job creation, food, enhancing income generating activities, production of pastures
|
8
|
Makomero
|
Makomero
|
rain fed
|
2.5 |
Job creation, food, enhancing income generating activities, production of pastures
|
9
|
Simbo
|
Simbo
|
rain fed
|
2.5 |
Job creation, food, enhancing income generating activities, production of pastures
|
10
|
Majengo
|
Majengo
|
Rain fed
|
2.5 |
Job creation, food, enhancing income generating activities, production of pastures
|
11
|
Utuja
|
Utuja
|
Rain fed
|
2.5 |
Job creation, food, enhancing income generating activities, production of pastures
|
12
|
Ndembezi
|
Ndembezi
|
Rain fed
|
2.5 |
Job creation, food, enhancing income generating activities, production of pastures
|
13
|
Nyandekwa
|
Nyandekwa
|
Rain fed
|
2.5 |
Job creation, food, enhancing income generating activities, production of pastures
|
MATUMIZI YA ZANA ZA KILIMO
Idadi matrekta na zana zake
Na |
Aina ya zana |
Idadi |
Jumla |
|
Nzima |
Mbovu |
|||
1
|
Trekta
|
55 |
8 |
63 |
2
|
Plau za trekta
|
58 |
12 |
70 |
3
|
Harrow za trekta
|
4 |
11 |
15 |
4
|
Tindo ya trekta (sub soiler)
|
1 |
0 |
1 |
5
|
Tela la trekta
|
54 |
09 |
63 |
6
|
Power tillers
|
39 |
18 |
57 |
7
|
Paddy planter
|
1 |
0 |
1 |
Zana za kukokotwa na wanyamakazi
Na |
Aina ya Zana |
Idadi |
Jumla |
|
Nzima |
Mbovu |
|||
1 |
Plau za wanyamakazi |
4,586 |
136 |
4,450 |
2 |
Mikokoteni |
9,423 |
31 |
9,454 |
Wanyamakazi:- Maksai = 7,346, Punda =6,820
Mashine za Usindikaji wa mazao mbalimbali zilizopo
Wilaya
|
Aina ya mashine
|
Idadi
|
Igunga
|
Mashine za kusaga
|
324
|
Mashine za kuchakata mpunga
|
86
|
|
Mashine za kukamua mafuta ya Alizeti na karanga
|
32
|
SEKTA YA USHIRIKA
Idadi ya vyama vya Ushirika vilivyoandikishwa katika Halmashauri ya wilaya ya Igunga ni 89 na vipo katika makundi sita 5 kama ifuatavyo:-
Jedwali Na. 5: Idadi na aina ya vyama vya Ushirika.
S/No
|
AINA YA VYAMA
|
HAI
|
SINZIA
|
JUMLA
|
1
|
Vyama vya Mazao
|
41
|
5
|
46
|
2
|
Akiba na mikopo (SACCOS)
|
19
|
15
|
34
|
3
|
Vyama vya Umwagiliaji
|
2
|
0
|
2
|
4
|
Vyamavya Madini
|
1
|
0
|
1
|
5
|
Vyama vya Huduma
|
0
|
6
|
6
|
|
JUMLA
|
63
|
26
|
89
|
Hatimiliki@2017Halmashauri ya Wilaya ya Igunga. Haki zote zimehifadhiwa