IDARA YA ARDHI NA MALIASILI
Idara ya Ardhi na Maliasili katika Halmashauri ya Wilaya ya Igunga inashughulika na masuala ya uendelezaji wa Makazi, Ardhi na usimamizi wa Maliasili. Idara hii inatekeleza na kusimamia majukumu kulingana na Sera ya Taifa ya Ardhi ya mwaka 1995, Sera ya Maendeleo ya Makazi ya mwaka 2000, Sheria ya Ardhi Na. 4 ya mwaka 1999, Sheria ya Ardhi ya Vijiji Na. 5 ya mwaka 1999, Sheria ya Upimaji na Ramani ya mwaka 1957 na Sheria ya Mipangomiji Na. 8 ya mwaka 2007. Sheria hizo zinatekelezwa na Kanuni za Upangaji Viwango vya Upimaji Mjini za mwaka 2011.
Idara ya Ardhi na Maliasili inaundwa na Sekta mbili ambazo ni;
Kazi kubwa ya Idara hii ni kusimamia rasilimali Ardhi na Maliasili zilizopo ndani ya Wilaya ya Igunga.
A: SEKTA YA ARDHI
Sekta ya Ardhi imegawanyika katika sehemu nne (4) kama ifuatavyo;
B: SEKTA YA MALIASILI
Sekta ya Maliasili imegawanyika katika sehemu kuu mbili ambazo ni kama ifuatavyo;
Idara ina majukumu makuu yafuatayo katika kuhakikisha upatikanaji wa huduma na uhifadhi wa ecolojia ndani ya Wilaya; ambayo yamechanganuliwa kulingana na vitengo mbalimbali vilivyopo katika Sekta za Idara.
Majukumu ya Kitengo cha Mipango miji
Majukumu ya Kitengo cha Uthamini
Majukumu ya kitengo cha Upimaji
Majukumu ya Kitengo Misitu
Majukumu ya Kitengo cha Wanyamapori
Hatimiliki@2017Halmashauri ya Wilaya ya Igunga. Haki zote zimehifadhiwa