BARAZA LA MADIWANI HALMASHAURI YA WILAYA YA IGUNGA 07/02/2023 LIMEPITISHA MAPENDEKEZO YA BAJETI KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024.
Mapendekezo ya Bajeti ya Halmashauri ya Mwaka wa fedha 2023/2024 ni Tshs 39,683,907,572 kutoka vyanzo vya ndani, ruzuku kutoka Serikali Kuu na Wadau wa maendeleo.
Kutoka kwenye vyanzo vya mapato vya ndani, Halmashauri inakisia kukusanya Tshs 4,422,748,800 ambayo ni sawa na ongezeko la asilimia 15% ikilinganishwa na makisio ya mwaka 2022/2023 ambayo ni kiasi cha Tshs3,849,894,000 Ruzuku kutoka Serikali Kuu kwa ajili ya matumizi ya kawaida na miradi ya maendeleo ni Tshs 30,641,020,772 na ruzuku kutoka kwa Wahisani ni Tshs 4,620,138,00 Pia Mpango na Bajeti hii inategemea kuchangiwa na wananchi katika miradi mbalimbali inayopendekezwa.
Mapendekezo ya Bajeti ya Halmashauri kwa mwaka wa fedha 2023/2024 yatatumika kama ifuatavyo:-
Muhtasari wa mapato kwa mwaka wa fedha 2023/2024
Mapendekezo Fedha za Miradi ya Maendeleo zimetengwa Billion 10 na Milion 150 laki 794,720 (laki saba tisini na nne elfu na mia saba ishirini),ambazo zitatekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Igunga.
|
|
|
|
|
|
25,581,831,000 |
|
|
|
3,951,281,852 |
|
|
|
10,150,794,720 |
|
|
|
39,683,907,572 |
|
Bajeti ndio muongozo wa matumizi ya Fedha za Serikali,kwa mwaka 2023/2024 Halmashauri ya Wilaya ya Igunga itatumia vyema muongozo huo wa bajeti katika kuwaletea maendeleo wananchi.
|
|
|
|
|
|
|
CHF
|
|
|
|
|
|
|
462,818,000.00 |
|
|
82,500,000 |
|
|
160,800,000 |
|
|
|
Hatimiliki@2017Halmashauri ya Wilaya ya Igunga. Haki zote zimehifadhiwa