Serikali ya awamu ya sita kupitia Mradi wa BOOST imeipatia Halmashauri ya Wilaya ya Igunga shilingi 1,358,800,000 kujenga shule mbili (2) mpya moja ikiwa na mikondo miwili,ambayo imepewa jumla ya fedha shilingi Milioni mia tano na sitini na moja na laki moja (561,100,000) na Shule moja mpy yenyemkondo mmoja nayo imeingiziwa shilling million mia tatu sitini na moja na laki tano.(361,500,000).Pia Mradi wa BOOST umetoa shilingi Milioni sabini na moja na laki nane (71,800,000) shule ya msingi Ushirika kwa ajili ya vyumba viwili vya Madarasa ya awali.
Ujenzi wa vyumba vya Madarasa 15 katika Shule za Msingi kama unavyoonekana katika jedwali hapa chini.
JIMBO
|
KATA
|
NA
|
JINA LA SHULE
|
MRADI
|
IDADI YA MIUNDO MBINU
|
KIASI CHA FEDHA
|
IGUNGA
|
IGUNGA
|
1
|
Buyumba
|
Ujenzi wa vyumba vya Madarasa
|
3
|
84,600,000.00 |
IGUNG
|
IGUNGA
|
2
|
Hanihani
|
Ujenzi wa vyumba vya Madasa
|
2
|
58,600,000.00
|
IGUNGA
|
IGUNGA
|
3
|
Jitegemee
|
Ujenzi wa shule mpya ya mikondo2
|
1
|
561,100,000.00
|
IGUNGA
|
IGUNGA
|
4
|
Mwabalaturu
|
Ujenzi vyumba vya madarasa
|
4
|
110,600,000.00
|
MANONGA
|
ITUNDURU
|
5
|
Selegei
|
Ujenzi vyumba vya madarasa
|
4
|
110,600,000.00
|
MANONGA
|
IGOWEKO
|
6
|
Matinje
|
Ujenzi wa Shule mpya ya mkondo1
|
1
|
361,500,000.00
|
MANONGA
|
MWASHIKU
|
7
|
Ushirika
|
Ujenzi Vyumba vya madarasa ya Awali
|
2
|
71,800,000.00
|
JUMLA KUU |
1,358,800,000.00
|
Hatimiliki@2017Halmashauri ya Wilaya ya Igunga. Haki zote zimehifadhiwa