• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe |
Igunga District Council
Igunga District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Igunga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Msingi Mkuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Utumishi na Utawala
      • Mazingira
      • Maji
      • Ujenzi
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Maliasili, Ardhi na Mazingira
      • Uvuvi na Mifugo
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
    • Vitengo
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Ugavi
    • Kata
      • Our Wards
  • Vivutio vya Uwekezaji
    • Vivutio Vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Wah. Madiwani
    • Orodha Ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Uongozi na Utawala
      • Mipangomiji na Mazingira
      • Kamati ya Uchumi, Elimu na Afya
      • UKIMWI
      • Kamati Ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Madiwani
      • Meeting With Chairperson
  • Miradi
    • Miradi Itakayo Tekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkatati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Taratibu
  • Vituo vya Habari
    • Press Release
    • Video za Shughuli za Ofisi Kitaifa
    • Makitaba ya Picha
    • Hotuba za Viongozi

IGUNGA YAPOKEA SHILINGI 807,630,000/= KWA AJILI YA UIMARISHAJI WA HUDUMA ZA AFYA VIJIJINI 2022/2023

Tarehe iliyowekwa: May 18th, 2023

Halmashauri ya wilaya ya Igunga inakiri imepokea fedha Shilingi Milion Mia nane na Saba na Laki sita na Elfu thelathini (807,630,000/=).Kutoka Serikali Kuu, kwa ajili ya shughuli za ujenzi wa miundombinu ya vyoo ,vichomea taka (incinerator),shimo la kutupa kondo la nyuma (placenta pit ,shimo la kutupa majivu (ash pit),uboreshaji wa huduma za maji na vyumba vya kujifungulia  katika vituo 23 vya kutolea huduma za Afya ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa program ya uendelevu wa Huduma za maji na usafi wa mazingira vijijini (Sustainable Rural Water Supply and Sanitation- SRWSS).

Uongozi wa Halmashauri na Wananchi kwa jumla wanaishukuru Serikali ya awamu ya sita,inayoongozwa na Mhe; Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuiletea Halmashauri ya Wilaya ya Igunga Fedha nyingi kwa kuimarisha huduma ya Afya kwa Wananchi wa Vijijini.

Orodha ya vituo vilivyoingiziwa fedha hii hapa chini.

ORODHA YA VITUO VYA KUTOLEA HUDUMA ZA AFYA VILIVYOPOKEA FEDHA 

KATA

KIJIJI

JINA LA KITUO CHA KUTOLEA HUDUMA ZA AFYA

 FEDHA POKELEWA 
Mtunguru
Mtunguru
Zahanati ya Mtungulu
       46,600,000.00
Ziba
Bulumbela
Zahanati ya Bulumbela
       27,580,000.00
Igunga
Igunga
Zahanati ya Igogo
       27,600,000.00
Sungwizi
Sungwizi
Zahanati ya Sungwizi
       28,850,000.00
Mwamashimba
Mwamashimba
Zahanati ya Mwamashimba
       29,600,000.00
Itunduru
Itunduru
Zahanati ya Itunduru
       44,850,000.00
Igunga
Igunga
Hospitali ya Wilaya Igunga
     100,000,000.00
Igunga
Igunga
Zahanati ya Isugilo
       27,850,000.00
Bukoko
Bukoko
Zahanati ya Bukoko
       28,600,000.00
Ndembezi
Ndembezi
Zahanati ya Ndembezi
       29,100,000.00
Mbutu
Mwabakima
Zahanati ya Mwabakima
       28,600,000.00
Simbo
Simbo
Kituo cha Afya Simbo
       38,600,000.00
Igulubi
Igulubi
Kituo cha Afya  Igurubi
       38,600,000.00
Choma
Choma
Kituo cha Afya Choma
       28,500,000.00
Igunga
Igunga
Zahanati ya Mwayunge
       10,000,000.00
Ziba
Ziba
Zahanati ya Ziba
       18,000,000.00
Itumba
Itumba
Zahanati ya Itumba
       34,000,000.00
Sungwizi
Ncheli
Zahanati ya Ncheli
       24,600,000.00
Isakamaliwa
Isakamaliwa
Zahanati ya Isakamaliwa
       26,600,000.00
Kining'inila
Mwanyagula
Zahanati ya Mwanyagula
       25,100,000.00
Mwashikumbili
mwashikumbili
Zahanati ya Mwashiku
       53,050,000.00
Ugaka
Mwakabuta
Zahanati ya Mwakabuta
       37,300,000.00
Nguvumoja
Mwanshoma
Zahanati ya Mwanshoma
       54,050,000.00

JUMLA KUU

 

     807,630,000.00 

Matangazo

  • MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA II October 12, 2024
  • MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA III October 12, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI WATENDAJI WA VIJIJI DARAJA III October 15, 2024
  • TANGAZO LA KAZI July 16, 2024
  • View All

Habari Mpya

  • MHE. RC. PAUL MATIKO CHACHA NA MHE. DC. SAUDA MTONDOO WAICHANGAIA IGUNGA UNITED SH. MILIONI 1.8

    April 22, 2025
  • MHE. DC. SAUNDA MTONDOO KUCHUKUA HATUA DHIDI YA WATAKAOWEKA UCHAFU KWENYE PAMBA

    April 22, 2025
  • WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AWAHAKIKISHIA WANANCHI KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZOTE KARIBU YAO IGUNGA

    March 12, 2025
  • WANAWAKE WAKUMBUSHWA UMUHIMU WAO DUNIANI

    March 09, 2025
  • View All

Video

Maadhimisho ya siku Wanawake Kata Simbo ya SIMBO wilayani Igunga.
Video Zaidi

Viungio vya haraka

  • Hotuba
  • Pakua Fomu
  • Zabuni
  • Matangazo ya kibiashara
  • Matukio

Kurasa zinazofanana

  • Watumishi Portal
  • Poralg
  • Public Service Management
  • Tabora Region Website
  • NECTA

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Sitemap
    • Huduma
    • Huduma

Hatimiliki@2017Halmashauri ya Wilaya ya Igunga. Haki zote zimehifadhiwa