• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe |
Igunga District Council
Igunga District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Igunga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Msingi Mkuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Utumishi na Utawala
      • Mazingira
      • Maji
      • Ujenzi
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Maliasili, Ardhi na Mazingira
      • Uvuvi na Mifugo
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
    • Vitengo
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Ugavi
    • Kata
      • Our Wards
  • Vivutio vya Uwekezaji
    • Vivutio Vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Wah. Madiwani
    • Orodha Ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Uongozi na Utawala
      • Mipangomiji na Mazingira
      • Kamati ya Uchumi, Elimu na Afya
      • UKIMWI
      • Kamati Ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Madiwani
      • Meeting With Chairperson
  • Miradi
    • Miradi Itakayo Tekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkatati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Taratibu
  • Vituo vya Habari
    • Press Release
    • Video za Shughuli za Ofisi Kitaifa
    • Makitaba ya Picha
    • Hotuba za Viongozi

MAELEKEZO YA MKUU WA WILAYA KWA WEOS/VEOS

Tarehe iliyowekwa: November 29th, 2023

Mkuu wa Wilaya ya Igunga Mhe; Sauda Mtondoo ametoa maelekezo kwa watendaji wa Kata na watendaji wa Vijiji katika masuala mbalimbali katika Maeneo yao ya Utawala. Katika Kikao kilichofanyika kwenye ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Igunga 29/11/2023,Mhe; Mtondoo amewataka watendaji wa Serikali kwa ujumla wao ndani ya Wilaya kila mmoja atekereze majikumu yake kwa weledi mkubwa. Pia Mkuu wa Wilaya amewataka watendaji wa Kata na Wavijiji kuongeza nguvu katika mapambano dhidi ya Malaria. Mkoa wa Tabora unaongoza kwa maambukizi toka 11.7% 2017/2018 hadi kufikia 23.4% 2023. Wakati kiwango cha maambukizi Kitaifa  ni 8.1% Wananchi wasisitizwe matumizi bora ya vyandarua, kutoa Elimu  kwa Jamii, kusimamia Usafi wa mazingira kwa wananchi, Kuwashirikisha viongozi wa dini na siasa katika mapambano dhidi ya Malaria.

Kuimarisha kampeni ya usafi wa mazingira ikiwa ni pamoja na ujenzi wa vyoo bora na matumizi ya vyoo hivyo. Sheria ndogo za usafi wa mazingira zitumike, Agizo la ujenzi wa vyoo bora kwa kila Kaya. (Muda miezi 2) baada ya hapo sheria zichukue mkondo wake.

Kuhusu suala la Elimu Mhe Mkuu wa Wilaya ametoa maagizo kwa Watendaji wa Kata na Watendaji wa Vijiji kwenda kusimamia uandikishaji wa watoto wa Elimu ya Awali na Darasa la kwanza kwa mwaka 2024. Hadi tarehe 24/11/ 2023 uandikishaji Elimu ya Awali ulikuwa awali 22% na Darasa la kwanza 40%.

Mdondoko wa wanafunzi: Kimkoa ni asilimia 34.5% ambacho ni kiwango kikubwa, hivyo ni jukumu la kila Mtendaji kufuatilia watoto wote wamalize masomo yao, washule za msingi wamalize Darasa la 7 na wasekondari walioanza Kidado cha kwanza wote wafike kidato cha nne.

Kwenye suala la Kilimo Amewaagiza Watendaji:

  • Kuhakikisha wakulima wote wamesajiliwa kwenye daftari la wakulima. Elimu itolewe kwenye vikao juu ya faida za kujiandikisha kwenye daftari. Mfano ufatiliaji wa pembejeo.
  • Kwa kushirikiana na Maafisa ugani ngazi ya Kata na Vijiji kusimamia kanuni za kilimo bora kwa mazao yote.

Misitu na mazingira Wataalamu wametakiwa Kusimamia zoezi la upandaji miti kwa kila Kaya na maeneo ya Taasisi. Aidha amesisitiza kampeni ya “NASOMA NA MTI WANGU” itiliwe mkazo katika Shule zote za Msingi na Sekondari.

Ukusanyaji wa mapato, Kwa wale wote mwenye POS, wahakikishe wanaweka fedha zote Bank zilizokusanywa.

Marufuku kutumia pesa ya makusanyo ya Serikali kabla ya kuipeleka Benk. (Alisema Mhe; Sauda Mtondoo Mkuu wa Wilaya ya Igunga)

Matangazo

  • MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA II October 12, 2024
  • MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA III October 12, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI WATENDAJI WA VIJIJI DARAJA III October 15, 2024
  • TANGAZO LA KAZI July 16, 2024
  • View All

Habari Mpya

  • MHE. RC. PAUL MATIKO CHACHA NA MHE. DC. SAUDA MTONDOO WAICHANGAIA IGUNGA UNITED SH. MILIONI 1.8

    April 22, 2025
  • MHE. DC. SAUNDA MTONDOO KUCHUKUA HATUA DHIDI YA WATAKAOWEKA UCHAFU KWENYE PAMBA

    April 22, 2025
  • WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AWAHAKIKISHIA WANANCHI KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZOTE KARIBU YAO IGUNGA

    March 12, 2025
  • WANAWAKE WAKUMBUSHWA UMUHIMU WAO DUNIANI

    March 09, 2025
  • View All

Video

Maadhimisho ya siku Wanawake Kata Simbo ya SIMBO wilayani Igunga.
Video Zaidi

Viungio vya haraka

  • Hotuba
  • Pakua Fomu
  • Zabuni
  • Matangazo ya kibiashara
  • Matukio

Kurasa zinazofanana

  • Watumishi Portal
  • Poralg
  • Public Service Management
  • Tabora Region Website
  • NECTA

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Sitemap
    • Huduma
    • Huduma

Hatimiliki@2017Halmashauri ya Wilaya ya Igunga. Haki zote zimehifadhiwa