• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe |
Igunga District Council
Igunga District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Igunga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Msingi Mkuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Utumishi na Utawala
      • Mazingira
      • Maji
      • Ujenzi
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Maliasili, Ardhi na Mazingira
      • Uvuvi na Mifugo
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
    • Vitengo
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Ugavi
    • Kata
      • Our Wards
  • Vivutio vya Uwekezaji
    • Vivutio Vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Wah. Madiwani
    • Orodha Ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Uongozi na Utawala
      • Mipangomiji na Mazingira
      • Kamati ya Uchumi, Elimu na Afya
      • UKIMWI
      • Kamati Ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Madiwani
      • Meeting With Chairperson
  • Miradi
    • Miradi Itakayo Tekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkatati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Taratibu
  • Vituo vya Habari
    • Press Release
    • Video za Shughuli za Ofisi Kitaifa
    • Makitaba ya Picha
    • Hotuba za Viongozi

Mafunzo kwa Maafisa Elimu Kata Wilaya ya Igunga

Tarehe iliyowekwa: August 11th, 2018

EQUIP- Tanzania watoa Mafunzo, kwa maafisa Elimu Kata juu ya Ufuatiliaji na tathimini ya  mfumo wa Kiunzi cha Afisa Elimu Kata juu ya  shughuli za kuongezea shule kipato, (income Generative Activity -IGA) na Ushirikiano wa Wazazi na Walimu (UWW), ambayo yamefanyika katika ukumbi wa shule ya Acacia Land kwa siku tatu na kuisha leo tarehe 11.08.2018, Igunga Mjini.

 “Mwongozo huu utawasaidia kuweza kusimamia majukuu yenu pamoja na kuweza kujifanyia tathimini ya njisi unavyotekeleza majukumu yako katika kata yako”aliongeza. Bibi. Martha Bayo Mratibu wa EQUIP-Tanzania Wilaya ya Igunga,  

Wakati huo huo baadhi ya Maafisa Elimu kata walioshiriki katika mafunzo wamesema wamepata vitu vipya pamoja na kuishukuru EQUIP-Tanzania, kwa mpango wao wa kuwaletea mfumo huo. Akiongea Afisa Elimu Kata ya Choma, Bwana Obrey Nickson Mwambipile amesema “nimefurahi kupata mafunzo haya kwani nimejifunza namna ya kufanya tathimini ya utendaji kazi wa walimu wakuu pamoja na namna ya kujitathimini Afisa Elimu Kata mwenyewe”

 “Nimepata kujifunza na kuelewa juu ya kujaza kiunzi cha tathimini naufuatiliaji wa taarifa kwa njia ya mfumo pamoja na kiunzi cha taarifa za shule kuhusu matumizi ya fedha za ruzuku na Shughuli za kuongezea shule kipato, (income Generative Activity -IGA) na Ushirikiano wa Wazazi na Walimu (UWW )”ameongeza Bwana, David Joram Afisa Elimu Kata ya Lugubu.

Nae Mthibiti Ubora wa Shule Wilaya ya Igunga Bwana Remigius Harara amewakumbusha Maafisa Elimu Kata kuendelea kuwa karibu na Walimu wakuu, waalimu na wazizi ili kuwezesha shule kujikwamua kwa kuendeleza miradi ya maendeleo katika shule zao ili kuondokana na hali ngumu na kuwahimiza  watoto wao kwenda shule pasipo kutoroka kwa kufanya mikutano ya shule na wazazi.

Katika mafunzo hayo yaliyowafathiliwa na EQUIP_Tanazania, na kuendeshwa na Mthibiti ubora wa shule Wilaya ya Igunga na Mratibu wa EQUIP-Tanzania Wilaya ya Igunga, yamehudhuriwa na Maafisa Elimu Kata, ambao wamekiri kuwa wanakwenda kufanyia kazi Mfumo huo wa kujitathimini wenyewe pamoja na walimu wakuu ambao wapo katika maeneo yao ya kazi.

Matangazo

  • MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA II October 12, 2024
  • MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA III October 12, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI WATENDAJI WA VIJIJI DARAJA III October 15, 2024
  • TANGAZO LA KAZI July 16, 2024
  • View All

Habari Mpya

  • MHE. DC. SAUDA MTONDOO AWATAKA MADIWANI KUTEMBEA KIFUA MBELE UTEKELEZAJI ILANI YA CHAMA CHA MAPINDUZI IGUNGA

    May 16, 2025
  • MHE. DC. SAUNDA MTONDOO APIGA MARUFUKU KUWEKA MAJI, MAWE NA MCHANGA LAINI KWENYE PAMBA

    May 16, 2025
  • DED IGUNGA AWATAKA WENYEVITI WA VIJIJI NA VITONGOJI KUDUMISHA UADILIFU BUSARA NA HEKIMA KUWAHUDUMIA WANANCHI

    May 10, 2025
  • MHE. RC. PAUL MATIKO CHACHA NA MHE. DC. SAUDA MTONDOO WAICHANGAIA IGUNGA UNITED SH. MILIONI 1.8

    April 22, 2025
  • View All

Video

Maadhimisho ya siku Wanawake Kata Simbo ya SIMBO wilayani Igunga.
Video Zaidi

Viungio vya haraka

  • Hotuba
  • Pakua Fomu
  • Zabuni
  • Matangazo ya kibiashara
  • Matukio

Kurasa zinazofanana

  • Watumishi Portal
  • Poralg
  • Public Service Management
  • Tabora Region Website
  • NECTA

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Sitemap
    • Huduma
    • Huduma

Hatimiliki@2017Halmashauri ya Wilaya ya Igunga. Haki zote zimehifadhiwa