• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe |
Igunga District Council
Igunga District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Igunga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Msingi Mkuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Utumishi na Utawala
      • Mazingira
      • Maji
      • Ujenzi
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Maliasili, Ardhi na Mazingira
      • Uvuvi na Mifugo
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
    • Vitengo
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Ugavi
    • Kata
      • Our Wards
  • Vivutio vya Uwekezaji
    • Vivutio Vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Wah. Madiwani
    • Orodha Ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Uongozi na Utawala
      • Mipangomiji na Mazingira
      • Kamati ya Uchumi, Elimu na Afya
      • UKIMWI
      • Kamati Ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Madiwani
      • Meeting With Chairperson
  • Miradi
    • Miradi Itakayo Tekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkatati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Taratibu
  • Vituo vya Habari
    • Press Release
    • Video za Shughuli za Ofisi Kitaifa
    • Makitaba ya Picha
    • Hotuba za Viongozi

MIRADI YA SEQUIP 2023 KWA SHULE ZA SEKONDARI WILAYA YA IGUNGA.

Tarehe iliyowekwa: July 10th, 2023

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Igunga  Bw; Athuman F. Msabila anautaarifu UMMA kuwa Halmashauri imepokea Fedha kutoka Serikali kuu kupitia Mradi wa SEQUIP Juni 2023 jumla ya Shilingi Billioni moja Millioni mia nne ishirini na saba na laki saba na Elfu themanini na moja na Shilingi mia moja ishirini na nne. (1,427,781,124). Fedha hizi ni kwa ajili ya kujenga Shule mpya mbili za Sekondari katika Vijiji vya Tambalale na Mtunguru,ujenzi huo wa Shule mpya umetengewa jumla ya shilingi 603,890,562.kila Shule.

 Shule ya Tambalale  ikikamilika itawapunguzia wanafunzi usumbufu wa kutembelea umbali mrefu kilomita 18 kutoka Tambalale hadi Simbo kila siku,pia wapo waliokuwa wanatembea kilomita 36 kila siku kwenda Shule ya Sekondari Simbo.Serikali ya awamu ya sita (6) inayoongozwa na Mhe; Dkt Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imekuwa mkombozi kwa Wananchi wa Igunga kwa kuwasogezea huduma za Elimu karibu yao.

Aidha  Halmashauri imepokea  Fedha shilingi (603,890,562)  kwa ajili ya ujenzi Shule mpya ya Mtungulu. Fedha shilingi (110,000,000) kwa ajili ya ujenzi wa nyumba moja  kwa mbili za walimu shule ya Sekondari Mwamakona,ambayo itakuwa na nafasi ya kutosha familia mbili za walimu.(two in one). 

Shule ya Sekondari Seif Gulamali nayo imepata Fedha shilingi (110,000,000) kwa ajili ujenzi wa Nyumba moja kwa mbili (two in one) ya walimu,ambapo walimu wawili na familia zao wataishi katika nyumba hiyo na kuwarahisishia kazi yao ya kufundisha maana watakuwa karibu na maeneo ya kazi yao.

Matangazo

  • MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA II October 12, 2024
  • MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA III October 12, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI WATENDAJI WA VIJIJI DARAJA III October 15, 2024
  • TANGAZO LA KAZI July 16, 2024
  • View All

Habari Mpya

  • MHE. RC. PAUL MATIKO CHACHA NA MHE. DC. SAUDA MTONDOO WAICHANGAIA IGUNGA UNITED SH. MILIONI 1.8

    April 22, 2025
  • MHE. DC. SAUNDA MTONDOO KUCHUKUA HATUA DHIDI YA WATAKAOWEKA UCHAFU KWENYE PAMBA

    April 22, 2025
  • WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AWAHAKIKISHIA WANANCHI KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZOTE KARIBU YAO IGUNGA

    March 12, 2025
  • WANAWAKE WAKUMBUSHWA UMUHIMU WAO DUNIANI

    March 09, 2025
  • View All

Video

Maadhimisho ya siku Wanawake Kata Simbo ya SIMBO wilayani Igunga.
Video Zaidi

Viungio vya haraka

  • Hotuba
  • Pakua Fomu
  • Zabuni
  • Matangazo ya kibiashara
  • Matukio

Kurasa zinazofanana

  • Watumishi Portal
  • Poralg
  • Public Service Management
  • Tabora Region Website
  • NECTA

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Sitemap
    • Huduma
    • Huduma

Hatimiliki@2017Halmashauri ya Wilaya ya Igunga. Haki zote zimehifadhiwa