Mgeni Rasmi akitoa hotuba katika Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani kata ya Simbo Wilayani Igunga, Ambae amemuwakilisha Mhe Mkuu wa wilaya ya Igunga.
Vikundi vya Wanawake wahakikishiwa mikopo ya Halmashauri isio na Riba kupitia Mapato ya Ndani.
Aidha mgeni Rasmi amewasihi wanawake kujiandaa na Sensa ya watu na makazi itakayofanyika mwaka huu 2022.
Hatimiliki@2017Halmashauri ya Wilaya ya Igunga. Haki zote zimehifadhiwa