• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe |
Igunga District Council
Igunga District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Igunga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Msingi Mkuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Utumishi na Utawala
      • Mazingira
      • Maji
      • Ujenzi
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Maliasili, Ardhi na Mazingira
      • Uvuvi na Mifugo
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
    • Vitengo
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Ugavi
    • Kata
      • Our Wards
  • Vivutio vya Uwekezaji
    • Vivutio Vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Wah. Madiwani
    • Orodha Ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Uongozi na Utawala
      • Mipangomiji na Mazingira
      • Kamati ya Uchumi, Elimu na Afya
      • UKIMWI
      • Kamati Ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Madiwani
      • Meeting With Chairperson
  • Miradi
    • Miradi Itakayo Tekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkatati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Taratibu
  • Vituo vya Habari
    • Press Release
    • Video za Shughuli za Ofisi Kitaifa
    • Makitaba ya Picha
    • Hotuba za Viongozi

Mhe.Naibu Waziri akaguzi miradi ya maendeleo Wilaya ya Igunga

Tarehe iliyowekwa: March 21st, 2018

Mheshimiwa George Joseph Kakunda, Naibu Waziri Ofisi ya Rais na Tawala za Mikoa na mamlaka za serikali za mitaa OR-Tamisemi, amewapongenza Mkuu wa Wilaya, Mkurugenzi Mtendaji na Wataalam kwa kutekeleza Miradi kwa ubora na  kusimamia pesa za Serikali vizuri katika ujenzi wa miundombinu ya maji Isenegeja na Mabweni katika shule za Sekondari ya Nanga na Ziba hivi karibvuni.

“Serikali ya awamu ya tano inawajali wananchi wake ndiyo maana inaleta Miradi kama ilivyo kwenye ilani ya chama tawala CCM” alisema Mhe. Naibu Waziri OR-Tamisemi.

 Mhe. Naibu Waziri OR-Tamisemi aliwataka kutumia nishati ya umeme umeme kwani mradi wa Umeme vijijini REA wameelekezwa kufikisha umeme kwenye Miradi hasa ya maji ili kuwezesha miradi hiyo kuwa endelevu. Solar ni gharama zaidi, au unaweza usilete tija kwani unatengemea mwanga wa jua, Solar zilizonyingi huharibika mapema ndani ya miaka miwili aliwashauri kujifunza maeneo mengine katika mkoa wa Manyara ambapo wametekeleza Miradi ya maji.

Aliendelea kuwambia wananchi na watendaji wa Serikali kufanya kazi kwa weledi na kusimamia miradi kikamilifu ili pesa zinazotolewa na Serikali zisipotee bali zilete tija na manufaa kwa watanzania kwa kukamilisha miradi kwa wakati na yenye ubora.

Akisoma Risala kwa Mgeni Rasmi Mhe.John Gabriel Mwaipopo Mkuu wa Wilaya ya Igunga  alisema “Mhe.Naibu Waziri Wilaya ya Igunga imepata fedha kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya shule za sekondari kupitia Mpango wa Lipa Kulingana na Matokeo katika awamu mbili hadi sasa. Awamu ya kwanza tumepokea jumla ya Tshs. 316,000,000.00 zilizotumika katika ujenzi wa miundombinu ya shule mbili za Nanga na  Ziba Sekondari.”

Mhe.Mkuu wa Wilaya alisema katika fedha hizo zilizoletwa Nanga  Sekondari  ilipokea  Tshs. 241,000,000.00 mnamo tarehe 05/07/2017 kwa ajili ya ujenzi wa Mabweni mawili (2) kwa  Tshs. 150,000,000.00,  vyumba vya madarasa vine (4) kwa Tshs. 80,000,000.00 na matundu ya vyoo kumi (10) kwa Tshs. 11,000,000.00.

Pia shule ya sekondari Ziba ilipokea tshs. 75,000,000.00 mnamo tarehe 12/09/2017 kwa ajili ya ujenzi wa bweni moja (1)

Katika awamu ya pili Wilaya ya Igunga imepokea tshs. 190,000,000.00 mnamo tarahe 29/12/2017 kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu katika shule ya sekondari Ziba kwa mchanganuo ufuatao; Ujenzi wa mabweni mawili (2)kwa Tshs. 150,000,000.00, na ujenzi wa vyumba vya madarasa viwili 2 kwa Tshs. 40,000,000.00

Ujenzi wa miundombinu ya maji katika kijiji cha Isenegeja ulianza kutekeleza tarehe 28 Novemba, 2017 na utagharimu Shillingi Million mia tatu laki tano na ishirini na sita elfu mia mbili arobaini tu (300,526,240.00).Ambapo uchimbaji wa mtaro wenye urefu wa mita 7,912, ufungaji wa mabomba, Ujenzi wa tanki la kuhifadhia maji lenye ujazo wa lita 60,000 na lita 10,000, Ujenzi wa vituo 15 vya kuchotea maji, ujenzi wa nyumba ya Mtambo na uzio.

Katika mradi wa maji Isenegeja ujenzi umefikia asilimia (37%), Ujenzi wa nyumba ya mtambo umefikia asilimia 70%, Ujenzi wa mlingoti (Riser)umefikia asilimia (50%).

Matangazo

  • MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA II October 12, 2024
  • MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA III October 12, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI WATENDAJI WA VIJIJI DARAJA III October 15, 2024
  • TANGAZO LA KAZI July 16, 2024
  • View All

Habari Mpya

  • DED IGUNGA AWATAKA WENYEVITI WA VIJIJI NA VITONGOJI KUDUMISHA UADILIFU BUSARA NA HEKIMA KUWAHUDUMIA WANANCHI

    May 10, 2025
  • MHE. RC. PAUL MATIKO CHACHA NA MHE. DC. SAUDA MTONDOO WAICHANGAIA IGUNGA UNITED SH. MILIONI 1.8

    April 22, 2025
  • MHE. DC. SAUNDA MTONDOO KUCHUKUA HATUA DHIDI YA WATAKAOWEKA UCHAFU KWENYE PAMBA

    April 22, 2025
  • WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AWAHAKIKISHIA WANANCHI KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZOTE KARIBU YAO IGUNGA

    March 12, 2025
  • View All

Video

Maadhimisho ya siku Wanawake Kata Simbo ya SIMBO wilayani Igunga.
Video Zaidi

Viungio vya haraka

  • Hotuba
  • Pakua Fomu
  • Zabuni
  • Matangazo ya kibiashara
  • Matukio

Kurasa zinazofanana

  • Watumishi Portal
  • Poralg
  • Public Service Management
  • Tabora Region Website
  • NECTA

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Sitemap
    • Huduma
    • Huduma

Hatimiliki@2017Halmashauri ya Wilaya ya Igunga. Haki zote zimehifadhiwa