• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe |
Igunga District Council
Igunga District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Igunga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Msingi Mkuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Utumishi na Utawala
      • Mazingira
      • Maji
      • Ujenzi
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Maliasili, Ardhi na Mazingira
      • Uvuvi na Mifugo
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
    • Vitengo
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Ugavi
    • Kata
      • Our Wards
  • Vivutio vya Uwekezaji
    • Vivutio Vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Wah. Madiwani
    • Orodha Ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Uongozi na Utawala
      • Mipangomiji na Mazingira
      • Kamati ya Uchumi, Elimu na Afya
      • UKIMWI
      • Kamati Ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Madiwani
      • Meeting With Chairperson
  • Miradi
    • Miradi Itakayo Tekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkatati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Taratibu
  • Vituo vya Habari
    • Press Release
    • Video za Shughuli za Ofisi Kitaifa
    • Makitaba ya Picha
    • Hotuba za Viongozi

NEEMA YA FEDHA ZA Mhe;RAIS DAKTARI SAMIA SULUHU HASSANI YATUA KWA WAFUGAJI IGUNGA

Tarehe iliyowekwa: April 12th, 2023
  • MILIONI 92 KUJENGA MAJOSHO YA MIFUGO KATIKA KATA 5
  • Halmashauri ya Wilaya ya Igunga imeletewa shilingi Millioni 92 kukoka Serikali Kuu kujenga Majosho ya Mifugo.
  • Kaimu Mkurugenzi ametoa Taarifa hiyo kwenye vikao vya kawaida vya Kamati April 2023 na kuelezea hatua iliyofikiwa ya ujenzi wa Majosho hayo;
  •  Hatua iliyofikiwa Ujenzi wa josho la Uswaya ni Kusuka nondo na kumwaga zege katika shimo,Vifaa kwa ajili ya ujenzi tayari vimepokelewa kutoka kwa mzabuni katika eneo la mradi.
  • Ujenzi wa josho la Ziba hatua iliyofikiwa ni Kuchimba shimo,Kumwaga jamvi kwenye shimo Kufyatua tofari 600 Kuchimba msingi wa Mazizi.Vifaa kwa ajili ya ujenzi tayari vimepokelewa kutoka kwa mzabuni katika eneo la mradi.
  • Josho la Kining’inila ujenzi upo hatua ya Kusuka nondo na kumwaga zege katika shimo,kuchimba msingi wa Mazizi,Vifaa kwa ajili ya ujenzi tayari vimepokelewa kutoka kwa mzabuni katika eneo la mradi
  • Ujenzi wa josho la Mbutu hatua iliyofikiwa ni Kusuka nondo na kumwaga zege katika shimo,Ujenzi wa kuta za shimo Kuchimba msingi wa mazizi Kupanga mawe kwenye msingi wa zizi moja.Vifaa kwa ajili ya ujenzi tayari vimepokelewa kutoka kwa mzabuni katika eneo la mradi.

Matangazo

  • MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA II October 12, 2024
  • MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA III October 12, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI WATENDAJI WA VIJIJI DARAJA III October 15, 2024
  • TANGAZO LA KAZI July 16, 2024
  • View All

Habari Mpya

  • MHE. DC. SAUDA MTONDOO AWATAKA MADIWANI KUTEMBEA KIFUA MBELE UTEKELEZAJI ILANI YA CHAMA CHA MAPINDUZI IGUNGA

    May 16, 2025
  • MHE. DC. SAUNDA MTONDOO APIGA MARUFUKU KUWEKA MAJI, MAWE NA MCHANGA LAINI KWENYE PAMBA

    May 16, 2025
  • DED IGUNGA AWATAKA WENYEVITI WA VIJIJI NA VITONGOJI KUDUMISHA UADILIFU BUSARA NA HEKIMA KUWAHUDUMIA WANANCHI

    May 10, 2025
  • MHE. RC. PAUL MATIKO CHACHA NA MHE. DC. SAUDA MTONDOO WAICHANGAIA IGUNGA UNITED SH. MILIONI 1.8

    April 22, 2025
  • View All

Video

Maadhimisho ya siku Wanawake Kata Simbo ya SIMBO wilayani Igunga.
Video Zaidi

Viungio vya haraka

  • Hotuba
  • Pakua Fomu
  • Zabuni
  • Matangazo ya kibiashara
  • Matukio

Kurasa zinazofanana

  • Watumishi Portal
  • Poralg
  • Public Service Management
  • Tabora Region Website
  • NECTA

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Sitemap
    • Huduma
    • Huduma

Hatimiliki@2017Halmashauri ya Wilaya ya Igunga. Haki zote zimehifadhiwa