TAARIFA KWA UMMA.
Halmashauri ya Wilaya ya Igunga imepokea Fedha shilingi Bilion mbili, Million mia tisa hamsini na tatu, mia saba na sita elfu na mia tano (2,953,706,500.00) Mwaka wa Fedha 2023/2024 toka Serikali kuu kwa ajili ya miradi mbalimbali kama ilivyoainishwa katika mchanganuo.
SN |
SHUGHULI |
KIASI |
1
|
MFUKO WA JIMBO
|
155,285,000.00 |
2
|
VYOO KIDATO CHA TANO
|
22,000,000.00 |
3
|
UZIO SHULE MAALUM
|
30,000,000.00 |
4
|
VYOO SHULE YA MSINGI
|
56,000,000.00 |
5
|
VIFAA TIBA ZAHANATI
|
100,000,000.00 |
6
|
NYUMBA YA MKURUGENZI
|
180,000,000.00 |
7
|
MADARASA SHULE KONGWE
|
180,000,000.00 |
8
|
MADARASA KIDATO CHA TANO
|
182,000,000.00 |
9
|
ZAHANATI
|
200,000,000.00 |
10
|
VIFAA TIBA HEALTH CENTER
|
600,000,000.00 |
11
|
UKARABATI HOSPITALI KONGWE
|
900,000,000.00 |
12
|
UNICEF - HUDUMA JUMUISHI ZA CHANJO YA UVIKO 19 NA CHANJO ZA KAWAIDA
|
64,261,000.00 |
13
|
HSBF COUNCI
|
69,040,125.00 |
14
|
HSBF FACILITIES
|
207,120,375.00 |
15
|
PO-RALG SEQUIP UFUATILIAJI NGAZI ZA HALMASHAURI
|
8,000,000.00 |
JUMLA |
|
2,953,706,500.00 |
Uongozi wa Halmashauri unatoa shukrani za dhati kwa Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mama wa Taifa Mhe,Dkt Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,kwa Fedha nyingi anazozileta kwenye Halmashauri kwa ajili ya maendeleo ya Wananchi wa Igunga na Watanzania wote.
Hatimiliki@2017Halmashauri ya Wilaya ya Igunga. Haki zote zimehifadhiwa