• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe |
Igunga District Council
Igunga District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Igunga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Msingi Mkuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Utumishi na Utawala
      • Mazingira
      • Maji
      • Ujenzi
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Maliasili, Ardhi na Mazingira
      • Uvuvi na Mifugo
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
    • Vitengo
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Ugavi
    • Kata
      • Our Wards
  • Vivutio vya Uwekezaji
    • Vivutio Vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Wah. Madiwani
    • Orodha Ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Uongozi na Utawala
      • Mipangomiji na Mazingira
      • Kamati ya Uchumi, Elimu na Afya
      • UKIMWI
      • Kamati Ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Madiwani
      • Meeting With Chairperson
  • Miradi
    • Miradi Itakayo Tekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkatati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Taratibu
  • Vituo vya Habari
    • Press Release
    • Video za Shughuli za Ofisi Kitaifa
    • Makitaba ya Picha
    • Hotuba za Viongozi

Tathimini Mradi wa Maji Isenegeja Kata ya Mwisi

Tarehe iliyowekwa: March 29th, 2018

Kaimu Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Igunga ndg, Samwel Hadon Ntulila,amemtuka mkandarasi anayejenga mradi wa maji isenegeja, kuongeza kasi ili aendane na Mkataba katika kikao cha tathimini kilichofanyika Ofisi ya Kata ya Mwisi hivi karibuni.

Kaimu Mkurugenzi amempongeza mkandarasi kuwa ujenzi unaendelea vizuri, hivyo mabomba ambayo yameshatandikwa kwa ajili ya kupitisha maji yaongezwe kwa wakati na Dp tano ambazo hazijakamilika kati ya kumi na tano zilizopo kwenye mkataba zikamilishwe kwa wakati.

“Napenda kumpongeza Mkandarasi kwa kazi nzuri, pamoja na kuwashirikisha wananchi kwa kuibua mradi  na kutoa mawazo yakasikilizwa” alisema Kaimu Mkurugenzi. Mradi utakuwa endelevu kwani umetokana  na mahitaji yao makubwa ya maji.

Nae Mheshimiwa Diwani Kata ya Mwisi Mhe.Daudi Luziga na Mheshimiwa Stephania Maige Viti maalum Kata ya mwisi waliwataka kamati ya maji  kuangalia upya njia sahihi ya wafugaji kupata mabilika ya kunyweshea Mifungo, kwani katika Miradi mingi mifungo haijazingatiwa.

Nae John wangwe Kaimu Mhandisi wa Maji Wilaya ya Igunga, aliwataka Waheshimiwa madiwani na kamati ya maji kuwaelimisha wananchi kutumia maji wakati mradi utakapo kamilika,kwani lengo la serikali ni kuwapatia wananchi  maji safi na salama.

Mwakilishi wa mkandarasi Monimar Company Ltd anayejenga mradio huo,  wa maji kijiji cha Isenegeja alisema  changamoto ya mvua kunyesha katika kipindi cha ujenzi wa tenki, kimesababisha ucheleweshaji wa kumwoga zege na kutandika mabomba. Aliendelea kusema tenki limefika asilimia 50%, na kuwa bomba zimetandikwa kwa kilometa 1.5, ambazo ni sawa na asilimia 89%.

Katibu kamati ya maji na wanakamati waliomba kuongezwa kwa Dp, katika maeneo yenye mkusanyiko wa watu hasa katika Kitongoji C.Pia Kamati ya maji pamoja na Waheshimiwa madiwani walipewa taratibu za kuunganishiwa maji mradi utakapo kamilika.

Matangazo

  • MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA II October 12, 2024
  • MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA III October 12, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI WATENDAJI WA VIJIJI DARAJA III October 15, 2024
  • TANGAZO LA KAZI July 16, 2024
  • View All

Habari Mpya

  • MHE. RC. PAUL MATIKO CHACHA NA MHE. DC. SAUDA MTONDOO WAICHANGAIA IGUNGA UNITED SH. MILIONI 1.8

    April 22, 2025
  • MHE. DC. SAUNDA MTONDOO KUCHUKUA HATUA DHIDI YA WATAKAOWEKA UCHAFU KWENYE PAMBA

    April 22, 2025
  • WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AWAHAKIKISHIA WANANCHI KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZOTE KARIBU YAO IGUNGA

    March 12, 2025
  • WANAWAKE WAKUMBUSHWA UMUHIMU WAO DUNIANI

    March 09, 2025
  • View All

Video

Maadhimisho ya siku Wanawake Kata Simbo ya SIMBO wilayani Igunga.
Video Zaidi

Viungio vya haraka

  • Hotuba
  • Pakua Fomu
  • Zabuni
  • Matangazo ya kibiashara
  • Matukio

Kurasa zinazofanana

  • Watumishi Portal
  • Poralg
  • Public Service Management
  • Tabora Region Website
  • NECTA

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Sitemap
    • Huduma
    • Huduma

Hatimiliki@2017Halmashauri ya Wilaya ya Igunga. Haki zote zimehifadhiwa