• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe |
Igunga District Council
Igunga District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Igunga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Msingi Mkuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Utumishi na Utawala
      • Mazingira
      • Maji
      • Ujenzi
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Maliasili, Ardhi na Mazingira
      • Uvuvi na Mifugo
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
    • Vitengo
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Ugavi
    • Kata
      • Our Wards
  • Vivutio vya Uwekezaji
    • Vivutio Vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Wah. Madiwani
    • Orodha Ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Uongozi na Utawala
      • Mipangomiji na Mazingira
      • Kamati ya Uchumi, Elimu na Afya
      • UKIMWI
      • Kamati Ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Madiwani
      • Meeting With Chairperson
  • Miradi
    • Miradi Itakayo Tekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkatati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Taratibu
  • Vituo vya Habari
    • Press Release
    • Video za Shughuli za Ofisi Kitaifa
    • Makitaba ya Picha
    • Hotuba za Viongozi

Uhuwishaji Vishikwambi kwa Mfumo Ulioborehwa

Tarehe iliyowekwa: April 19th, 2018

Afisa Elimu Taaluma Mkoa Tabora, Bwana Emmanuel Malima, amewakumbusha maafisa elimu msingi, maafisa elimu Kata pamoja na walimu wakuu wa shule za msingi, wilayani Igunga kutunza vishikwambi walivyopewa kwa kuwa ni mali ya Serikali na Mwajili katika ukumbi wa St.Leo mjini Igunga hivi karibuni.

“Kuna mifumo mitatu ya kutolea taarifa ambayo ni mfumo wa taarifa za shule Student Information System (SIS), Mfumo wa Usajili wa taarifa za wanafunzi shule za Msingi ambao ni Basic Education Management Information Systems (BEMIS) na Mfumo wa takwimu za elimu msingi kwa kiingereza Primary Record Manager (PREM)” aliongeza Afisa Elimu Taaluma Mkoa wa Tabora.

Bwana Emmanuel Malima, akiongea na maafisa elimu pamoja na maafisa elimu  Kata na walimu wakuu wa shule za msingi wilaya ya Igunga, aliendelea kusisitiza kuwa Katika zoezi la kufatilia vishikwambi na kuhuwisha Mfumo kutoka 2.0.5 kwenda 2.0.6 ambao umeboreshwa, mifumo hii ni muhimu kwa Taifa letu na Elimu ya Tanzania kwani taarifa zilizo sahihi zinatoka katika ngazi ya mwalimu mkuu, ambaye  ndiye  chanzo sahihi cha kuandikisha mwanafunzi na takwimu zote za msingi zipo kwake.

Aliongeza kuwa vishikwambi hivyo vimetolewa kwa ajili ya kazi ya Takwimu na si kwa ajili ya kuvitumia kwa matumizi yasiyo rasmi, hasa kupigia picha za harusi na kuazimana na kupakua miziki. Aliendelea kuwasisitiza kuwa atakayepoteza kishikwambi utaratibu unajulikana kwa aliyepoteza mali ya Serikali, taarifa zitolewe Polisi kwani amepoteza mali ya  Serikali na taarifa muhimu za wanafunzi na walimu hivyo ajiandae kulipa kwa kununua kishikwambi kipya.

Pia aliwataka kusimamia taaluma ipasavyo kwa kuanzisha makaundi ya kujisomea ya wanafunzi watatu watatu ambayo yatapunguza wanafunzi wasiojua kusoma ,kuandika na kuhesabu hasa  darasa la tatu na darasa la nne ambao wanaelekea kwenye Mitihani ya Taifa.

Nae Kaimu Afisa Elimu Msingi Bi Martha Bayo, aliwakumbusha maafisa elimu kata hao  pamoja na walimu wakuu, kuzingatia maagizo ya Serikali na maelekezo ya pesa zinazopelekwa mashuleni walipe kulingana na vifungu na taratibu, miongozo na Kanununi za Serikali zinavyowaelekeza.

Pia aliwataka kuandaa taarifa mbalimbali zinazohusiana na pesa za Serikali, kwa kuwakumbusha kuwa zinatakiwa kuingizwa kwenye mfumo wa malipo ya fedha uitwao Facility Financing Accounting and Reporting Systems (FFARS) ambao unatakiwa kutumika kuandaa malipo yote ya pesa za Serikali zinazopelekwa mashuleni.

Matangazo

  • MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA II October 12, 2024
  • MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA III October 12, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI WATENDAJI WA VIJIJI DARAJA III October 15, 2024
  • TANGAZO LA KAZI July 16, 2024
  • View All

Habari Mpya

  • MHE. RC. PAUL MATIKO CHACHA NA MHE. DC. SAUDA MTONDOO WAICHANGAIA IGUNGA UNITED SH. MILIONI 1.8

    April 22, 2025
  • MHE. DC. SAUNDA MTONDOO KUCHUKUA HATUA DHIDI YA WATAKAOWEKA UCHAFU KWENYE PAMBA

    April 22, 2025
  • WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AWAHAKIKISHIA WANANCHI KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZOTE KARIBU YAO IGUNGA

    March 12, 2025
  • WANAWAKE WAKUMBUSHWA UMUHIMU WAO DUNIANI

    March 09, 2025
  • View All

Video

Maadhimisho ya siku Wanawake Kata Simbo ya SIMBO wilayani Igunga.
Video Zaidi

Viungio vya haraka

  • Hotuba
  • Pakua Fomu
  • Zabuni
  • Matangazo ya kibiashara
  • Matukio

Kurasa zinazofanana

  • Watumishi Portal
  • Poralg
  • Public Service Management
  • Tabora Region Website
  • NECTA

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Sitemap
    • Huduma
    • Huduma

Hatimiliki@2017Halmashauri ya Wilaya ya Igunga. Haki zote zimehifadhiwa