Tarehe iliyowekwa: August 15th, 2025
MSIMAMIZI wa Uchaguzi 2025 Majinbo ya Igunga na Manonga, Ndug.Hamisi H. Hamisi amemkabidhi fomu ya kugombea ubunge mgombea wa jimbo la Manonga kwa chama cha AAFP Mhe. Daudi Gerson Shamdilu.
...
Tarehe iliyowekwa: August 15th, 2025
MSIMAMIZI wa Uchaguzi 2025 ngazi ya Majinbo ya Igunga na Manonga, Hamisi Hamisi amemkabidhi fomu ya kugombea ubunge mgombea wa jimbo la Manonga kwa chama cha N.R.A. Mhe. Lwatakubi Sospeter Kabungulu.
...
Tarehe iliyowekwa: August 15th, 2025
MKURUGENZI Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Igunga mkoani Tabora, Bi. Selwa Abdalla Hamid amewaasa Watumishi wanaokwenda kushiriki michezo iliyoandaliwa na Shirikisho la Michezo Serikali za Mitaa ...