Tarehe iliyowekwa: January 9th, 2019
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Igunga Ndugu Revocatus L.K. Kuuli, amewapongeza Shirika la Care Tanzania kupitia Mradi wa TAMANI (Tabora Maternal and New born Initiatives), kwa huduma wal...
Tarehe iliyowekwa: December 11th, 2018
Bi.Catherine Mathias Afisa mradi wa TAMANI (Tabora Maternal and New born Initiatives), Wilaya ya Igunga kutoka shirika la Care International Tanzania amekabidhi vifaa vya kusaidia akina mama katika uz...
Tarehe iliyowekwa: November 8th, 2018
Afisa Elimu Msingi Wilaya ya Igunga Bibi Dora Stephen Simbachawene, amewataka walimu wa hisabati wa darasa la kwanza na la pili, kufata maelekezo waliyopewa na wakufunzi na yaliyopo ...