Tarehe iliyowekwa: August 25th, 2025
MRAKIBU Mwandamizi wa Jeshi la Magereza wa Wilaya ya Igunga mkaoni Tabora, Kaganyero Kegori amewaongoza askari wa jeshi hilo kuchangia damu zaidi ya chupa 13 katika Hospitali ya wilaya hiyo.
...
Tarehe iliyowekwa: August 25th, 2025
MSIMAMIZI wa Uchaguzi wa Majimbo ya Igunga na Manonga wilayani Igunga mkoani Tabora, Ndug. Hamisi H. Hamisi amewakabidhi fomu ya kugombea ubunge jimbo la Igunga na Manonga wagombea wa chama cha CHAUMA...
Tarehe iliyowekwa: August 15th, 2025
MSIMAMIZI wa Uchaguzi 2025 Majinbo ya Igunga na Manonga, Ndug.Hamisi H. Hamisi amemkabidhi fomu ya kugombea ubunge mgombea wa jimbo la Manonga kwa chama cha AAFP Mhe. Daudi Gerson Shamdilu.
...