Tarehe iliyowekwa: May 14th, 2018
Bwana Remigius Halala, Mthibiti ubora wa shule Wilaya ya Igunga, amewataka maafisa elimu Kata kufuata hatua nne za mzunguko wa Mafunzo endelevu ya kukuza taaluma, wakati alipokuwa akifungua mafunzo en...
Tarehe iliyowekwa: May 13th, 2018
Mwalimu Saten Chalula, Afisa Elimu Maalum Wilaya ya Igunga, amewataka walimu wa madarasa ya utayari kutumia njia na mbinu mbalimbali za kufundishia na kujifunzia kuwasaidia watoto wa madarasa ha...
Tarehe iliyowekwa: May 5th, 2018
Mheshimiwa Mkuu wa Wilaya ya Igunga, Gabriel John Mwaipopo, amesema Mwenge wa uhuru 2018 Wilayani Igunga utatembelea miradi ipatayo mitano (5) kutoka Sekta za Elimu, Miundombinu ya barabara na S...