Tarehe iliyowekwa: August 5th, 2025
MSIMAMIZI wa Uchaguzi Jimbo la Igunga na Manonga, Ndug. Hamisi H. Hamisi amewaasa Wasimamizi Wasaidizi ngazi ya kata kuendeleza utendaji wao wa kiuadilifu, uaminifu, uzalendo, uchapakazi na uaminifu.
...
Tarehe iliyowekwa: March 15th, 2025
Na HEMEDI MUNGA
Pamba! Dhahabu Nyeupe. Hivyo ndivyo wanavyoamini wakulima na viongozi wanaosimamia zao hilo Wilaya ya Igunga mkoa wa Tabora kutokana na mafanikio lukuki ambayo Halmashauri hiyo imey...
Tarehe iliyowekwa: May 16th, 2025
MKUU wa Wilaya ya Igunga mkoani Tabora, Mhe. Sauda Mtondoo amesema wanasimama kifua mbele kwa kutekeleza Ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kutokana na ushirikiano ambao Baraza la Madiwani walimpatia....