Tarehe iliyowekwa: January 31st, 2025
MWENYEKITI wa Halmashauri ya Wilaya ya Igunga mkoani Tabora, Mhe. Lucas Bugota amesema Rais Dk. Samia Suluhu Hassan ameleta fedha nyingi ambazo zimekua zikitekeleza miradi ya maendeleo katika sekta za...
Tarehe iliyowekwa: January 28th, 2025
WANANCHI Wilayani Igunga mkoani Tabora wametakiwa kujitokeza kwa wingi kwenye uzinduzi wa Samia Legal Aid Campaign kwa lengo la kupata msaada wa Huduma ya Kisheria unaotolewa na timu ya Watalaamu kuto...
Tarehe iliyowekwa: January 22nd, 2025
KAIMU Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Igunga mkoani Tabora, Joseph Mafuru amewataka Watumishi wa Afya kuendelea na zoezi la kuchanja kupitia huduma Mkoba kwa lengo la kuhakikisha wanaf...