• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe |
Igunga District Council
Igunga District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Igunga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Msingi Mkuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Utumishi na Utawala
      • Mazingira
      • Maji
      • Ujenzi
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Maliasili, Ardhi na Mazingira
      • Uvuvi na Mifugo
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
    • Vitengo
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Ugavi
    • Kata
      • Our Wards
  • Vivutio vya Uwekezaji
    • Vivutio Vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Wah. Madiwani
    • Orodha Ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Uongozi na Utawala
      • Mipangomiji na Mazingira
      • Kamati ya Uchumi, Elimu na Afya
      • UKIMWI
      • Kamati Ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Madiwani
      • Meeting With Chairperson
  • Miradi
    • Miradi Itakayo Tekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkatati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Taratibu
  • Vituo vya Habari
    • Press Release
    • Video za Shughuli za Ofisi Kitaifa
    • Makitaba ya Picha
    • Hotuba za Viongozi

DED IGUNGA AWATAKA WANANCHI KUJITOKEZA KWENYE SAMIA LEGAL AID CAMPAIGN

Tarehe iliyowekwa: January 28th, 2025

WANANCHI Wilayani Igunga mkoani Tabora wametakiwa kujitokeza kwa wingi kwenye uzinduzi wa Samia Legal Aid Campaign kwa lengo la kupata msaada wa Huduma ya Kisheria unaotolewa na timu ya Watalaamu kutoka katika Kampeni hiyo.

Wito huo ameutoa leo Jumatatu Januari 27, 2025 Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo, Bi. Selwa Abdalla Hamid wakati akiongea na Watalaamu wa timu hiyo katika Ofisi ya Mkurugenzi huyo mjini hapa.

Bi. Selwa alitoa wito kwa Wananchi wote ambao wanadaiwa kuwa na matatizo sugu wafike wapate msaada na kuacha tabia ya kusubiri viongozi wa kitaifa wanapokua na ziara wilayani hapa ndio wanajitokeza.

“Nitoe wito kwa wananchi wote kutokuwa na hofu ikiwa mnachangamoto zinazowagusa hata kama itakua ni viongozi msisite kutaja wapi mmekwamishwa kwa lengo la kupata msaada utakaoendelea kuwapa faraja,’’ alitoa wito.

Katika hatua nyingine, aliishukuru timu hiyo kwa kuweza kufika kwa sababu ni jambo la msingi hususan katika maeneo ya vijiji na kata ambako kunadaiwa kuwepo watu wengi ambao hawana taaluma ya sheria na huwenda wakawa na changamoto.

‘’Watanzania wanahaki sawa ya kupewa msaada, hivyo tunamshukuru Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kwa kufikiria kuunda kampeni hii inayowagusa wananchi wenye changamoto,” alishukuru.

Aidha, aliihakikishia timu hiyo kuwa ofisi yake ipo tayari kuendelea kutoa ushirikiano hata kama ikitokea yale yanayosemwa yatawagusa katika utendaji wao wa kazi.

‘’Ni wajibu kuyatatua na kutoa msaada kwa sababu ndio kitu pekee kitakachowafanya Wananchi waendelee kuamini kuwa serikali inawajali,” alisema.

Timu ya Samia Legal Aid Campaign imeweka kambi ya siku tisa wilayani igunga ikilenga kuwafikia Wananchi katika vijiji na kata kuwasikiliza na kutatua changamoto ambazo zinawezakuibuka kuhusu msaada wa sheria.

==== //// ==== //// ===== //// ======


Matangazo

  • MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA II October 12, 2024
  • MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA III October 12, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI WATENDAJI WA VIJIJI DARAJA III October 15, 2024
  • TANGAZO LA KAZI July 16, 2024
  • View All

Habari Mpya

  • MHE. RC. PAUL MATIKO CHACHA NA MHE. DC. SAUDA MTONDOO WAICHANGAIA IGUNGA UNITED SH. MILIONI 1.8

    April 22, 2025
  • MHE. DC. SAUNDA MTONDOO KUCHUKUA HATUA DHIDI YA WATAKAOWEKA UCHAFU KWENYE PAMBA

    April 22, 2025
  • WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AWAHAKIKISHIA WANANCHI KUENDELEA KUPATA HUDUMA ZOTE KARIBU YAO IGUNGA

    March 12, 2025
  • WANAWAKE WAKUMBUSHWA UMUHIMU WAO DUNIANI

    March 09, 2025
  • View All

Video

Maadhimisho ya siku Wanawake Kata Simbo ya SIMBO wilayani Igunga.
Video Zaidi

Viungio vya haraka

  • Hotuba
  • Pakua Fomu
  • Zabuni
  • Matangazo ya kibiashara
  • Matukio

Kurasa zinazofanana

  • Watumishi Portal
  • Poralg
  • Public Service Management
  • Tabora Region Website
  • NECTA

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Sitemap
    • Huduma
    • Huduma

Hatimiliki@2017Halmashauri ya Wilaya ya Igunga. Haki zote zimehifadhiwa