• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe |
Igunga District Council
Igunga District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Igunga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Msingi Mkuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Utumishi na Utawala
      • Mazingira
      • Maji
      • Ujenzi
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Maliasili, Ardhi na Mazingira
      • Uvuvi na Mifugo
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
    • Vitengo
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
      • Ugavi
    • Kata
      • Our Wards
  • Vivutio vya Uwekezaji
    • Vivutio Vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Uvuvi
  • Wah. Madiwani
    • Orodha Ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha, Uongozi na Utawala
      • Mipangomiji na Mazingira
      • Kamati ya Uchumi, Elimu na Afya
      • UKIMWI
      • Kamati Ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao Vya Madiwani
      • Meeting With Chairperson
  • Miradi
    • Miradi Itakayo Tekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkatati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Taratibu
  • Vituo vya Habari
    • Press Release
    • Video za Shughuli za Ofisi Kitaifa
    • Makitaba ya Picha
    • Hotuba za Viongozi

WATUMISHI IGUNGA WANUFAIKA KUPITIA KLINIKI INAYOENDESHWA NA IDARA YA UTAWALA NA USIMAMIZI WA RASILIMALIWATU

Tarehe iliyowekwa: February 3rd, 2026

MKUU wa Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu wa Halmashauri ya Wilaya ya Igunga mkoani Tabora, Ndug. Hamisi H. Hamisi amempongeza Mheshimiwa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kwa kuboresha maslahi ya Watumishi ikiwemo fedha za likizo.


Ndug. Hamisi ametoa pongezi hizo, Jumatatu Februari 02, 2026 wakati wa kikao kazi na Watumishi wa kata ya Igunga, Bukoko na Mtungulu kilichofanyika katika ukumbi wa Father Albert Bolle mjini hapa.


"Ni fahari  kwetu watumishi kwa sababu Mhe. Rais. Dk. Samia Suluhu Hassan katuletea fedha za likizo za kutosha na katuongezea mishahara ikiwemo kupandisha vyeo," amesema.


Aidha, amewataka Watumishi hao, kuendelea kufanya kazi kwa weledi na wasione tabu kwa sababu waliomba kazi na wamepata kazi hivyo wasione kazi kufanya kazi.


Pia, amewahimiza kuhakikisha wanafuata maadili ya utumishi wa umma ikiwemo nidhamu yakutekeleza majukumu yao katika vituo vyao vya kazi.


"Niwaombe watumishi wenzangu kutii mamlaka na kutekeleza yale yanayoagizwa na viongozi wetu kwa sababu kutofanya hivyo ni makosa yanayosababisha kumchukulia hatua za kinidhamu mtumishi," amesema.


Amewataka kutumia mishahara wanayoipata vema na isewe sababu yakuwafukuzisha kazi kwa kuwa walevi, kukopa kunakomfanya mtumishi kutokwenda kazini na  kugawa kadi kwenye taasisi za mikopo.


Katika hatua nyingine, amewakumbusha watumishi hao kuwa walezi wa wanafunzi nakutojiuhusisha na vitendo vya ngono nao  kwa sababu kufanya hivyo ni kinyume na sheria za utumishi na nchi.


"Nivizuri kila mtumishi kuhakikisha anafuata maadili, anatoa huduma bora, anaitii serikali, anatoa huduma bila upendeleo, anawajibika kwa umma na  anaheshimu sheria za utumishi wa umma, " amesisitiza.


Kwa upande wa Mwalimu wa Shule ya Msingi  Isugile, Michael Kobelo amempongeza Mkuu huyo wa Idara kwa kuwa na klinini za kusikiliza na kutatua kero za watumishi jambo ambalo hapo awali halikuwahi kufanyika.


"Sisi watumishi tunajisikia faraja kwa sababu Idara yako mwanzo tuliiona ni  kituo cha polisi kwa kutokua na mapokezi ya dhati lakini sasa kila mmoja anakubali ushirikiano uliopo, hongera sana," amepongeza.

================/


\


Matangazo

  • WAHI FURSA ZA UWEKEZAJI IGUNGA September 25, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MWENYEKITI WA BODI YA AJIRA October 28, 2025
  • TANGAZO LA KAZI July 16, 2024
  • View All

Habari Mpya

  • WATUMISHI IGUNGA WANUFAIKA KUPITIA KLINIKI INAYOENDESHWA NA IDARA YA UTAWALA NA USIMAMIZI WA RASILIMALIWATU

    February 03, 2026
  • MWENYEKITI WA HALMASHAURI NA DED WATOA ZAWAZI KWA WASIMAMIZI WA MIRADI KWA UKAMILIFU

    January 31, 2026
  • IGUNGA MATUMIZI YA KIDIJITALI YASHIKA KASI

    January 29, 2026
  • MAFUNZO YAWAONGEZEA UJUZI NA UMAKINI MADIWANI NA WATAALAMU KUIONGOZA HALMASHAURI

    January 24, 2026
  • View All

Video

Maadhimisho ya siku Wanawake Kata Simbo ya SIMBO wilayani Igunga.
Video Zaidi

Viungio vya haraka

  • Hotuba
  • Pakua Fomu
  • Zabuni
  • Matangazo ya kibiashara
  • Matukio

Kurasa zinazofanana

  • Watumishi Portal
  • Poralg
  • Public Service Management
  • Tabora Region Website
  • NECTA

World visitors tracker

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Sitemap
    • Huduma
    • Huduma

Hatimiliki@2017Halmashauri ya Wilaya ya Igunga. Haki zote zimehifadhiwa